ZIJUE OPTIONS ZA KUBET ZINAZOCHANGANYA OVER NA UNDER

ZIJUE OPTIONS ZA KUBET ZINAZOCHANGANYA OVER NA UNDER


Ni Imani yangu kuwa article hii itakusaidia wewe ambaye unashiriki michezo hii ya kubahitisha hasa mpira wa miguu na michezo kama mpira wa kikapu na ile ya volleyball. Pia ni Imani yangu kuwa kama wewe ni chini ya miaka -18 hautajihusisha na michezo hii kama ilivyo sharia ya hii michezo.

👇👇Kujisajili 22Bet Bofya hapa chini👇👇Moja ya option inayochanganya watu wengi katika kubashiri yaani kubet ni option ya over na under. Wengi husema two plus au three plus bila kuelewa hasa kimchezo huwa inaandikwa au inajulikanaje.
Wengi ambao mmeingia kwenye website mbali mbali nahisi umeona kitu kuandikwa mf: 2.5 Over AU 2.5 Under. Basi leo kwa kiasi nitakuelewesha option hii. 

👇👇Kujisajili 22Bet Bofya hapa chini👇👇MAANA YA UNDER
Kiswahili fasaha cha neno Under ni CHINI YA au maana nyingine inaweza kusemwa ni PUNGUFU YA … hivyo mtu akisema mfano under 3 ni pungufu ya tatu au chini ya tatu. TUKIANGAZIA KATIKA BETTING kuna 2 UNDER na 2.5 UNDER. 2 under maana yake kimchezo isifikie mbili. Kwa mfano umecheza goli. Ukasema total goals 2 under maana yake yasifike magoli mawili liishie moja tu. Mf. Anacheza Chelsea vs arsenal basi match iishe 1-0 au 0-0 au 0-1 hapo utashinda lakini kukiwa na magoli Zaidi utaliwa.
Na 2.5 under maana yake yasizidi magoli mawili. Nakukumbusha tena 2 under maana yake yasifike magoli mawili. Lakini 2.5 under yakifika magoli mawili bado ticket au mkeka wako utakua salama. Lakini yakifika magoli matatu basi mkeka utachanika. Mf anacheza Man U VS Man City basi match iishe 0-0 au 1-1 au 1-0 au 2-0 idadi ya magoli isifike tatu.

👇👇Kujisajili 22Bet Bofya hapa chini👇👇Ni Imani yangu kuwa umeelewa kidogo


MAANA YA OVER
Kiswahili fasaha cha over ni juu ya. Au izidi . sasa hii over katika michezo yetu hii huwa tunasema ni plus. Mfano too plus au three plus. Sasa tuanze mfano na over 2. MAANA ya over 2 ni ifike angalau mbili. Mf kama umebet magoli na ukabet over 2 maana yake angalau kuwe na mgoli mawili na Zaidi hapa sasa iko hivi ikifika magoli mawili hautashinda moja kwa moja isipokuwa kiasi chako ulichobet kitarudiswa kwenye account yako. Na ikiwa chini ya goli mbili basi ticket yako au mkeka wako utakua umechanika. Hivyo ili ushinde moja kwa moja unahitaji kuwe na goli tatu. Sasa 2.5 over hii kiswajili chake tumekizoe kama 3+ yaani three plus kuwe na goli tatu na kuendelea. Kwa hio kila utakpo kuta under na over elewa kutofautisha kati ya over yenye point na isiyo na point mf over 1 na over 1.5, over 2 na over 2.5 , over 3 na over 3.5 na kuendelea. 
Under na over iko hivyo… kama UNA MAONI TOFAUTI UNAWEZA KUSHARE LAKINI PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA 22BET KAMPUNI KUTOKA ULAYA INAYOBETISHA MTANDAONI NA INA ODDS NZURI NA OPTIONS NYINGI

👇👇Kujisajili 22Bet Bofya hapa chini👇👇NAKUPENDEKEZEA UJIUNGE LEO NA 22BET NA HUTOJUTIA KABISA JIUNGE sasa JIUNGE KIRAHISI BONYEZA HAPA 22BET kisha jaza fomu na ujiunge.

👇👇Kujisajili 22Bet Bofya hapa chini👇👇ukishindwa kujiunga na ukakwama popote weka comment nitakusaidia,piga simu namba 0620425925 niandike email hapa TUTUMIE EMAIL

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post